Michezo

Picha: Tazama nyota wa Man United wakiwasili Old Trafford na magari ya kifahari tayari kuikabili Swansea

Nyota wa Manchester United wamewasili kwenye viwanja vya Carrington asubuhi ya leo tayari kujiandaa na mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza wikiend hii.

Takribani wachezaji wengi wa United wamewasili baada ya kutoka kuzitumikia timu zao za taifa wiki iliyopita na sasa wapo tayari kuikabili klabu ya Swansea siku ya Jumamosi mchana.

Mourinho anarejea mapumziko akiwa na kibarua kikubwa cha kupunguza gepu la pointi 16 dhidi ya vinara wa ligi hiyo Manchester City.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents