Michezo

Picha: Wananchi wa chini washinda TVS King kutoka SportPesa

Kampuni ya Kubashiri Michezo ya SportPesa imeendelea kubadilisha maisha ya watanzania wa chini kabisa kupitia promotion yake mpya ya ShindaNaSportPesa ambapo Bajaj 100 aina TVS King  zinatolewa.

Dotto Athumani Mnondwa 

Promotion hiyo itaendeshwa kwa miezi mitatu ambapo mpaka sasa watanzania zaidi ya 10 wameshajishindia na kukabidhiwa Bajaj zao huku 90 zikisubiri washindi.

NI fullshangwe

November 8 mwaka huu kijana Dotto Athumani Mnondwa  mwenye umri wa miaka 25 kutoka Kwamakocho Chalinze amekabidhiwa TVS King yake mpyaaaa baada ya kujishindia kupitia promotion hiyo.

Tuma neno Game kwenda 15888 au *150*87  na wewe ujishindie, hakuna uchawi hapa.

https://www.instagram.com/p/BbPfMueheKR/?taken-by=bongofive

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents