Rais Samia Suluhu aagiza Walimu 6,000 waajiriwe (+ Video)

ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezitaka Wizara za Utumishi na TAMISEMI kujaza nafasi za Walimu 6,000 ili waweze kutoa huduma kwa Watanzania.


Amesema, “Natambua kuna Walimu 6,000 au zaidi ambao wameacha kazi, wamestaafu au wamefariki na sababu mbalimbali na kunahitajika warudishiwe”

Related Articles

Back to top button