Habari

Rais Samia Suluhu kuwaapisha wakuu wa mikoa, taasisi Jumatano 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan atawaapisha Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Taasisi siku ya Jumatano ya tarehe 19 Mei,2021 kuanzia saa 4:00 asubuhi badala ya siku ya Jumanne tarehe 18 Mei, 2021 ambayo ilitangazwa awali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents