Burudani

Rapper 21 Savage akamatwa nchini Marekani kwa tuhuma za kuishi kinyume cha sheria



Rapper Shayaa Bin Abraham-Joseph maarufu kama 21Savage kwa sasa anashikiliwa na mamlaka ya uhamiaji ICE nchini Marekani, kwa madai kuwa sio raia wa nchi hiyo na anaishi kinyume na sheria.

Kwa sababu ya Visa (Kibali) chake kuisha toka mwaka 2006, na inasemekana aliingia Marekani mwaka 2005 ambapo alikuwa na miaka 12 na kwa sasa rapper huyo anamiaka 26 na ameishi Marekani kwa miaka 14 kinyume na sheria na kwa sababu hizo huenda akarudishwa Uingereza.

CNN wamesema katika Interview zake Savage amekua akijitambulisha kwamba anatokea Atlanta, Georgia Marekani.

By Ally Juma.



Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents