Michezo

Ratiba ya mechi za robo fainali za Uefa wiki hii

Leo hatua ya robo fainali ya michuano ya UEFA Champion League inaanza kutimua vumbi katika viwanja viwili barani humo.

Juventus itakuwa nyumbani kuwakaribisha Barcelona haya ni marudio ya mchezo wa fainali ya mwaka 2015, ambapo Barca waliibuka washindi.

Na mchezo mwingine utakuwa ni kati ya Dortmund ambao watakuwa nyumbani kuwa karibisha Monaco.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents