BurudaniHabari

Rayvannny akutana na mfalme wa TikTok, Khaby Lame

Staa wa muziki wa Bongo Fleva @rayvanny ameonekana akiwa na ataa namba moja wa mtandao wa TikTok duniani @khaby00

@khaby00 ana zaidi ya followers milioni 161.8 TikTok akiwa anaongoza kwenye Mtandaoni huo.

@khaby00 ni raia wa Italia lakini ana asili ya Senegal.

Khaby ni staa ambaye ana ukaribu na mastaa wengi wakubwa duniani akiwemo Cristiano Ronaldo, Messi, Mbappe na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents