Habari

RC Makonda “Ujenzi wa mifereji ya Dar imekwama, tutaandamana mpaka kwa Waziri” (Video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amefanya ziara Wilaya ya Ilala na kukuta mradi wa ujenzi wa mifereji Buguruni Kisiwani haujaanza wakati mradi huo ujenzi wake ulitakiwa uanze toka mwezi wa 4 mwaka huu.

Baada ya kukuta mkwamo huo, RC alimpigia simu mratibu wa mradi wa DMDP kutoka Tamisemi, Emmanuel Ndiyamkama na kusema mradi huo umekwama hazina.

RC amemtaka mratibu huyo kuhakikisha mradi huo unaaza kabla ya tarehe 10 na ikifika siku hiyo haujaanza basi ataandamana na wananchi wa Kata nne mpaka ofisi za Tamisemi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents