Habari
RECAP: Abby Chams atafute uongozi mpya
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia sakata la Abby Chams na Paula. Anasema Kibiashara Abby Amefanikiwa maana amejua afanye nini ili azungumziwe. Mbali na hilo @el_mando_tz amemshauri Abby Chams atafute Uongozi utakaosimamia kazi zake.