
Kupitia kwenye kipindi chake pendwa cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ametoa mtazamo wake kuhusu sakata la Manara na Dulla Makabilla linvyoenda.
@el_mando_tz anasema kuwa inavyoonyesha tukio liliandaliwa ili kumkomoa mtu fulani na. Dio maana Dulla hajakaa kimya.
Anaongeza kuwa kwa namna vitu vilivyotokea Manara kwa umri wake na nafasi aliyonayo kwenye jamii hakupaswa kumvua nguo Dulla makabila, angetakiwa amstiri kama mwanaume mwenzake.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Host: @el_mando_tz Cameraman & Editor @samirkakaa