Michezo

RECAP: Wasanii wa Tanzania wanabaniwa kimataifa (Video)

Bongofive kupitia kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amelizungumzia Tamasha lililoanzishwa nchini Marekani linalojulikana kama East Africa Festival.

Baada ya kuona orodha ya wasanii waliopo pale ameeleza Tamasha hilo ni fursa kwa wasanii wengi kwenda kujifunza mengi.

Amehoji kuwa kwanini wasanii kutoka Tanzania wamewekwa wachache kuliko Taifa kama Kenya ambalo limekuwa na idadi ya wasanii wanne huku Tanzania ikiwa na wasanii watatu tu??

@el_mando_tz anasema kuwa Tanzania kimuziki kwa sasa kwa upande wa Afrika Mashariki ndio biashara ya muziki ilipo huwezi kukwepa hilo.

Kwenye hilo Tamasha kulikuwa na haja ya wasanii wa Tanzania kuwa wengi zaidi maana ndio biashara ya muziki ilipo.

Ukweli ni kwamba idadi ya wasanii wachanga ni wengi kuliko wasanii wenye uzoefu, waandaaji wa Tamasha hilo wamezingatia vigezo gani??

Unahisi kwanini Kenya imekuwa na wasanii wengi kuliko mataifa yote??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya Youtube ya Bongofive.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents