Burudani

RECAP: Alikiba hakujipanga, Media haifanyi kazi (Video)

Bongofive Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & Mando @el_mando_tz amezungumzia Media mpya ya Alikiba ya Crown Media.

@el_mando_tz amehoji kwanini media hiyo mpaka sasa haijaanza kufanya kazi licha ya kuzinduliwa wiki mbili zimepita mpaka sasa??

Anasema kuwa inavyoonekana kuna vitu vilikuwa bado havijakamilika je kulikuwa na ulazima wa kuzindua media haliyakuwa bado kuna vitu havijakamilika??

Kulikuwa na haraka gani?? Je unahisi walifanya haraka kuzindua media ikiwa kuna vitu havijakamilika au hawakujipanga??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya Youtube ya Bongofive.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents