HabariMichezo

Ricardo Momo: Viongozi wa Simba wajifunze kwa Hersi (+Video)

Mchambuzi kutoka Wasafi Fm @Ricardo Momo amewapa ushauri viongozi wa Simba wajifunze kwa Rais wa klabu ya Yanga SC Injinia Hersi Said namna ambavyo anaendesha timu ndani ya muda mfupi ameweza kutengeneza historia ndani ya Klabu ya Yanga kwa kufanya mambo mengi muhimu kwaajili ya Wapenzi na wanachama wao mfano usajili Bora ambao uwewawezesha kufika fainali ya kombe la Shirikisho pili wameza kufuzu hatua ya makundi ligi ya Mabingwa baada ya miaka 25 pia wameweza kumfunga Tano mtani ni jambo kubwa pia wameweza kuchaguliwa kuwania timu Bora ya mwaka katika tuzo za CAF hiyo inaletwa na Uongozi bora kwahiyo amewashauri na Viongozi wa Simba kUbadili mfumo wao wa kuendesha klabu hili kupata mafanikio zaidi.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents