Burudani

Rich Mavoko aachia video ya wimbo Ndegele, aonekana kuichokonoa WCB

Ijumaa hii msanii wa muziki, Rich Mavoko ameachia video ya wimbo wake ‘Ndegele’ ikiwa ni video yake ya kwanza toka aingie kwenye mgogoro na WCB, label ambayo amefanya nayo kazi kwa miaka 2.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya kazi akiwa katika kampuni yake ya Billionea kid, siku ya jana alidaiwa kuachia teaser ya video yake huyo ambayo inaonekana kuwa na maneno kuhusu WCB.

Related Articles

32 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents