BurudaniVideos

Rick Ross aahidi kuja Tanzania na kupanda mlima Kilimanjaro (+ Video)

Rapa wa muziki kutoka nchini Marekani William Leonard Roberts II alimaarufu kama Rick ross ameendelea kuonyesha nia yake ya kuja kuitembeela Tanzania na pia kuja kupanda mlima Kilimanjaro na kufika kileleni.

Akiongea katika Podcast ya FullSend Rick Ross amesema kuwa ” Nimekuwa nikipasikia Serengeti kwenye maisha yangu, lakini mpaka kufika hapa leo miaka 10 ya msoto huko nyuma imefika muda sasa wa kufurahia maisha yangu na uwezo niliona nao kwa sasa wa kimaisha, nina uwezo wa kwenda kutembeela Mlima Kilimajaro.

Ikumbukwe kuwa Mlima Kilimanjaro ulipo Tanzania ndio Mlima mrefu zaidi barani Afrika ukiwa na urefu wa mita 5,895.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents