Habari

Ripoti ya CAG yaitaja KMC FC (+Video)

Mkaguzi mkuu na mdhibiti wa hesabu za serikali CAG Charles Kichere katika ripoti yake kwenye Manispaa ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam imebaini kuwa kiasi cha shilingi milioni 33 zilizotolewa na Halmashauri hiyo katika kipindi cha mwama wa fedha wa 2019-20 kama mkopo wa mshahara kwa mwalimu wa timu ya KMC hakijarudishwa.

“Twende kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Kutorejeshwa kwa fedha zilizolipwa kama mkopo wa mshahara kwa mwalimu wa timu ya mpira wa miguu inayomilikiwa na Manispaa ya Kinondoni Shilingi mil 33”.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents