FahamuHabariMichezo

Sadio Mane atua rasmi Bayern Munich

Aliyekuwa mchezaji wa Liverpool mzaliwa wa Senegal Sadio Mane rasmi amejiunga na klabu ya Bayern Munich kutoka nchini Ujerimani.

Mane ameitumikia Liverpool kwa taribani miaka 6 akijiuna na wakali hao akitokea Sputhampton mnamo mwaka 2016.

Mane amesaini mkataba ambao ataitumikia Bayern mpaka mwaka 2025

Related Articles

Back to top button