Burudani
Said Fella amvuta Baby J Mkubwa na Wanawe
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/11849338_622273994579180_25243531_n.jpg)
Said Fella ameamua kumchukua msanii kutoka visiwani Zanzibar, Baby J kwenye himaya yake ya Mkubwa na Wanawe.
Meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale ambaye amekuwa akifanya kazi kwa kushirikiana na Fella ametoa taarifa hiyo kupitia Instagram.
“Nipo na mkali wa kike pekee aliyebaki znz kwa kuona ujuzi wake mkubwa na wanawe imemchukua ili kulinda kipaji kisipotee soon ngoma yake inatoka Baby J,” aliandika.