Mtangazaji wa CloudsTv @sakinalyoka_ amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya binti yake @reytox_ kupata matatizo baada ya kuwekwa ndani na Polisi baada ya kudaiwa ndiye aliyepost video ya @professorjaytz kwenye mtandao wa Mange Kimambi.
@sakinalyoka_ ameeleza kuwa binti yake kwa sasa anafanya kazi kwenye kampuni nyingine ambayo ipo chini ya @christinalewisoffical “Mwanangu hakupost ile video na nilimpigia Mange akasema Rey hahusiki kabisa.