MahojianoVideos

Sakina Lyoka: Nilimpigia Mange simu nikamuulize akasema sio yeye (+ Video)

Mtangazaji wa CloudsTv @sakinalyoka_ amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya binti yake @reytox_ kupata matatizo baada ya kuwekwa ndani na Polisi baada ya kudaiwa ndiye aliyepost video ya @professorjaytz kwenye mtandao wa Mange Kimambi.
@sakinalyoka_ ameeleza kuwa binti yake kwa sasa anafanya kazi kwenye kampuni nyingine ambayo ipo chini ya @christinalewisoffical “Mwanangu hakupost ile video na nilimpigia Mange akasema Rey hahusiki kabisa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents