Sallam SK: Ukimtaka Zuchu kwa sasa uwe na tsh milioni 20 (Video)

Meneja wa @diamondplatnumz na WCB @sallam_sk amesema kutokana na uwekezaji walioufanya kwa msanii wao mpya @officialzuchu promota akimtaka muimbaji huyo aandae tsh milioni 20.

Sallam amedai muimbaji huyo hana hata mwaka kwenye muziki lakini uwekezaji walioufanya ni mkubwa.

Meneja huyo usiku wa kuamkia leo alikuwa anazungumza na wadau wake kupitia Insta Live.

Related Articles

Back to top button