Michezo

Sam Allardyce ateuliwa kuwa kocha mpya wa England

Sam Allardyce ametangazwa rasmi na chama cha soka cha England FA kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya England kabla ya hapo Sam alikuwa kocha wa klabu ya Sunderland.

3684AADA00000578-3703507-image-m-2_1469233227357

Allardyce, ajulikanaye sana kama Big Sam, ametia saini mkataba wa miaka miwili, ambao utampatia jukumu la kuandaa na kuongoza timu hiyo hadi mwisho wa Kombe la Dunia la 2018.

Anachukua bikoba ya Roy Hodgson, aliyejiuzulu baada ya England kuondolewa kutoka kwa michuano ya ubingwa Ulaya nchini Ufaransa baada ya kushindwa na Iceland.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents