Michezo

Samatta kutupa karata yake ya kwanza Aston Villa dhidi ya Leicester City

Baada ya kiu cha muda mrefu kutoka kwa watanzania, Sasa ni mwendo wa furaha tu, ikiwa ni mechi ya kwanza kwa @samagoal77 baada ya kusajiliwa ndani ya timu ya Aston Villaa ambao Jumanne hii watakiwasha na Leicester City ikiwa ni nusu fainali za Carabao Cup. Katika kuendeleza sherehe hizi @dstvtanzania wanakupa nafasi ya kushuhudia Live mtanange huu kwa kifurushi cha Bomba sh. 19,000 tu.
Piga sasa 0659 070707 kujiunga. #KilaMtuMachoKodo

https://www.instagram.com/p/B72h6rZhnw8/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents