Habari

Serikali yakabidhiwa mashine za oxygen zenye thamani ya tsh milioni 52 (Video)

Doris Mollel aikabidhi serikali mashine za Oxygen za Tsh Milioni 52 kwaajili wa watoto njiti “Wadau wetu wamesema wataleta mara tatu ya hizi”

Taasisi ya @dorismollelfoundation imeikabidhi serikali mashine za oxygen za watoto zenye thamani ya Tsh Milioni 52 kwaajili ya watoto njiti katika hospitali za Wilayani.

Msaada huyo umepokelewa na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt Aifello Sichwale kwa niaba wa Naibu Waziri wa Afya Mhe Godwin Mollel ambaye alikuwa kwenye majukumu mengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents