Habari

Serikali yataja mapato yaliyokusanywa kwa makocha na wachezaji wa kigeni wanaofanyia kazi Tanzania – Video

Serikali yataja mapato yaliyokusanywa kwa makocha na wachezaji wa kigeni wanaofanyia kazi Tanzania - Video

Leo katika kikao cha Bunge Dodoma Mbunge wa Chemba mkoani Dodoma Juma Nkamia aliuliza swali kuwa ni kiasi gani Serikali ya tanzania imekusanya kodi kutoka kwa wachezaji na makocha wa kigeni.

Swali hilo lilijibiwa na Naibu waziri wa fedha na mipango Dkt. Dk.Ashatu Kijaji na kusema kuwa:Serikali imekusanya kiasi hiki cha kodi kwa makocha na wachezaji wa kigeni kwa msimu wa mwaka 2017/2018, majibu hayo yametolewa na Naibu waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji alitoa taarifa.

 

Video Credit by Azamtv

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents