Habari

Shinyanga: Mzee wa miaka 50 atenguliwa kiuno na mchepuko wa mke wake (+ Video)

Masanja Gamalu, mzee anaekadiriwa kuwa na miaka 50 ameiomba serikali imsaidie aweze kupata haki yake ya matibabu baada ya kuvamiwa na kupigwa hadi kuvunjika mgongo na kiuno na aliyekuwa hawala wa mke wake ambaye alikimbilia mkoani Shinyanga.

Kwa mujibu wa Eatv.Tv. Kero hiyo imetolewa mbele ya mkutano wa hadhara baina ya wananchi na mkuu wa mkoa wa Geita Rosemarry Senyamule, uliofanyika mtaa wa CCM stendi Katoro wenye lengo la kusikiliza kero za wananchi.

Bofya hapa chini kutazama.

 

https://www.instagram.com/p/CUzuGr8DBJG/

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents