Burudani

Siri ya mahusiano kati ya Rihanna na Drake yaanza kufichuka

Rihanna na Drake wamekuwa kwenye mahusiano ya siri kwa mwezi mmoja sasa.

1401x788-spl1245675_003_

Hivi karibuni Rihanna alihusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Leonardo DiCaprio baada ya kuonekana wakiwa wote kwenye tamasha la Coachella.

Jarida la People limeripoti kutoka chanzo cha habari kuwa Rihanna na Drake wameamua kuweka mahusiano yao kuwa siri kwa wakati huu watu wasiyajue.

Miaka kadhaa nyuma Chris Brown aliwahi kugombana Drake kutokana na tuhuma za kutoka na Rihanna.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents