BurudaniMuziki

Song: Linex – Onga Onga

Sikiliza hapa ngoma Mpya kutoka kwa Linex mwenyewe anasema kuwa wimbo huu ndio official (yaani rasmi) kwa mwaka huu. Mwezi mmoja nyuma zilitoka nyimbo zake ambazo yeye mwenyewe linex amesema hakuzitoa ila zilivuja kwa bahati mbaya, kwahiyo kwa mwaka huu wimbo huu “onga onga” ndio wimbo wake wa kwanza kutoa. Wimbo umefanyikia pale Sharobaro records chini ya usimamizi wa producer Bob Junior

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents