Burudani

Suma Mnazaleti na Young Lunya kuachia colabo yao leo

Kupitia mitandao yake ya kijamii rapa wa Bongo fleva Suma Mnazaleti ameandika ujumbe huu kuwajuza mashabiki wake kuwa:

“Habari- NAITWA Suma Mnazaleti, Samahani Kwa Usumbufu. Napenda Kutoa Tamko RASMI- Ukiwa Kama Mtu Wa MEDIA, DJ, PRESENTER, BLOGGER, MDAU, NDUGU, JAMAA au RAFIKI.

Ijumaa hii Kumetokea Hali Ya Sintofahamu BAADA ya Kuonekana Umeachiwa Wimbo Wangu Nilomshirikisha YOUNG LUNYA (TUSHAWASIKIA).

Hali Iliyosababisha Maswali mengi Kwa Watu Mbali mbali, na kwa Bahati Mbaya Nilikuwa SIPATIKANI kwa Sbb Nilikuwa Safari Border moja Ya nchi Jirani na TANZANIA. hivyo Nilichelewa Pia kujua ilo nakupata Taharifa.

Hali Iyo Ilitokana Na Kutoelewana Kimaongezi kati Yangu Na Wasimamizi Wa Kazi Zangu… Wimbo Uo Nilikuwa Nao ndani Zaidi Ya mwaka Mmoja na Miezi 7.

Hivyo akuna jinsi kwa Sababu Ulishaingia Mtaani kwa dharura- nimeamua Kuutoa Rasmi. SAA 11 jioni Nadrop Link. Ntashukuru ukisupport kazi iyo Kwa nafasi Yeyote uliyopo ASANTE- Samahani kwa Usumbufu- Sanaa Sio Ugomvi Sanaa sio VITA Sanaa ni Upendo na Furaha. TUPENDANE. Dua 🙏🏽”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents