Habari
TAARIFA: Jopo la wataalam 7 lamtoa Askofu Ruwa’ichi ICU, Watanzania waombwa waendelee kumuombea
Afya ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Thadei Ruwa’ichi imeanza kuimarika ambapo leo Septemba 16, 2019 ametolewa ICU na kupelekwa wodi ya kawaida baada ya jopo la wataalamu saba wanaomuhudumia kujiridhisha.