BurudaniHabari

TANAPA Wawapa shavu Ramadhani Brothers

Mabingwa wa Tuzo kubwa ya American Got Talent 2024 kutoka Tanzania Fadhili Ramadhani na Ibrahim Jobu RAMADHAN BROTHERS Baada ya kushinda taji la ligi ya Fantasy na kujishindia dola za Kimarekani 250,000 wamepokelewa katika Ofisin za TANAPA leo kwaajili ya Maandalizi ya Kupanda mlima Kilimnajaro na baadae kutembelea Hifadhi ya Taiafa ya Serengeti.

Shirika la hifadhi za Taifa TANAPA linawapongeza Ramadhan Brothers kwa ushindi ambao unatafsiriwa kama Ushindi wa Taifa kwa namna walivyo iwakilisha nchi wakati wa mashindano ya America Got Talent yaliyofanyika nchini Marekani ambapo shirika hilo linaendelea kujivunia kushirikiana na vijana wa Kitanzania katika Tasnia Tofauti tofauti wanao fanya kazi nzuri za Sanaa zinazo chagiza kusukuma namna bora ya kuitangaza nchi Kimataifa.

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents