Habari
Tanzia: Muigizaji wa Mizengwe ‘Mzee Matata’ afariki dunia
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2021/06/images-2.jpeg)
Mwigizaji mkongwe wa Maigizo ya Vichekesho Nchini Tanzania Jumanne Alela Maarufu kama ‘Mzee Matata’ amefariki dunia. Taarifa za kifo chake Zimethibitishwa na Mwigizaji Mwenzake aliyekuwa akiigiza naye katika Kipindi cha Mizengwe, Mkwere