Michezo

TFF haitaki mazoea na mtu

Rais wa Shirikisho la Mpira wa miguu nchini Wallace Karia amesema kuwa kwa wale wote ambao watashindwa kufata kanuni za mpira ya miguu katika mechi hizi za robo fainali ya michuano ya Ligi ya mabingwa ambazo zitacheza wekeend ijayo hawatasita kuwakuchukulia hatua za kisheria haswa wale ambao wapo kwenye familia ya mpira wa miguu .

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents