Tommy Flavour na Alikiba watangaza balaa jioni ya leo (+ Video)

Wasanii kutoka lebo ya @kingsmusicrecords @officialalikiba pamoja na @tommyflavour wametangaza kuachia ngoma yao mpya jioni ya leo saa 12.

Ngoma hiyo inaitwa JahJah ambayo ipo katika album ya @tommyflavour na @tommyflavour ndio kamshirikisha @officialalikiba. Hii itakuwa ngoma ya pili ya @tommyflavour kumshirikisha @officialalikiba baada ya Omukwano.

Related Articles

Back to top button