Burudani

Trey Songz msala wake unamtia Umaskini

Kesi ya madai ya unyanyasaji wa kijinsia iliyokuwa ikimkabili staa mwimbaji wa Marekani Trey Songz hatimaye imefikia ukomo baada ya mtuhumiwa kukubali kulipa Dola Mil 25 sawa na Tsh Bilioni 64.4 nje ya Mahakama.

Habari za ndani zimefichua hivi majuzi katika nyaraka za kisheria ambazo gazeti la The Blast limezipata zikionyesha  kuwa mwimbaji wa (Say Aaah) na mlalamikaji Jane Doe wamemaliza tofauti Sao nee ya chumba cha mahakama.

Ikiwa masharti ya kusuluhisha yametimizwa Ombi la kufutilia mbali kesi hiyo linaweza xuwasilishwa kabla ya Juni 10, 2024 kesi ya mwanamuziki huyo ilianza mwaka 2022 wakati mwanadada Jane Doe alipomshutumu kwa kumnyanyasa kingono kwenye moja ya Party aliyoalikwa nyumbani kwa Trey Songz mnamo Agosti 2015.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents