Burudani

Avunja Rekodi ya Dunia

Mwanamke mimosa kutoka nchini Ghana aitwaye Chef Faila anadaiwa kuipiku na kuvunja rekodi ya Alan Fisher kwa kupika massa 227.

Aidha mwanamke huyo anasubiri uthibitisho kutoka kwa (Guinnes World Records) ambapo kupitia ukurasa wa X wa kitabu hicho cha rekodi za Dunia, wametolewa majibu ya kuwa wanapitia video zote ili kuthibitisha hilo.

Iwapo Chef Faila atafanikiwa, atakuwa mtu kutoka Ghana kuingia kwenye kitabu hicho.

Ikumbukwe kuwa rekodi hiyo ilishikiliwa na Alan Fisher ambaye alipika kwa saa 119 dakika 57 na Sekunde 16, rekodi hiyo ilithibitishwa mwezi November mwaka 2023.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents