Fahamu

Mapacha walioungana kwa miaka Mingi zaidi wafariki Dunia

Mapacha walioungana wenye umri Mkubwa zaidi Duniani wamefariki Dunia wakiwa na miaka 62.

Pamoja na kuzaliwa wakiwa wameungana, Lori na George Schappel walifanikiwa katika kazi zao zilizokuwa tofauti pamoja na mambo mengine mengi.

Mapacha hao walizaliwa Pennsylvania nchini Marekani walikuwa wameungana Fuvu sehemu ya Ubongo na mishapa ya Damu.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents