HabariMichezo

Tunda Man: Wanasimba njooni uwanjani dhidi ya Vipers (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Tunda Man amewahamasisha mashabiki wa Simba SC kujitokeza kwa wingi siku ya Jumanne kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Mnyama dhidi ya Vipers ya Uganda.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents