Bongo5 MakalaFahamuHabari

Tupac aliwahi kusema ‘Tafuta hela, ninunulie hiki ninunulie kile inaboa’

Leo kwenye #Bongo5Hamasa tupo na Tupac Amaru Shakur, hii ni kwa ajili ya kuhamasisha watu kupambana kwenye maisha.

Tupac Shakur kwenye wimbo wake wa ‘Thug Nature ‘anasema

“Kama Unataka Vitu Tafuta Hela”
“Ninunulie Hiki Ni Nunulie Kile Inaboa”

Tupac Shakur anatueleza kwenye Thug nature kuwa maisha ni kuchagua kama umechagua maisha ya kuwa tegemezi (mwanamke) basi usishangae na kushtuka unapoombwa ngono.

Anaongeza kuwa ili uwe na maisha ambayo utakuwa huru hakuna mtu wa kukupelekesha basi TAFUTA HELA.

Kwenye wimbo Tupac anaeleza kuwa “Wengi wanazini kwa kulipa fadhila. Ni wazazi/walezi wako pekee wanaweza kukupa bila malengo machafu na ya aibu.

Wengine sio mara zote wazungu wanasema “no free lunch” Watu wengi wamefanya uzinzi na uasherati kutokana na wema wanaotendewa bila kujua lengo la mtendaji .

Unaenda club unaomba ununuliwe bia chips kuku Na ‘Mnigga’ Kwanini unajifanya Kushtuka Unapoombwa ngono “That’s is a nigga nature”
Huwezi Kuepuka Hata Kushikwa That’s a nigga nature!!

Huna haja ya kulia futa machozi fanya kazi kama unataka utajiri , wanatafuta pesa ili wapate malaya, chunguza kile unachopewa kina lengo gani.

Kuepuka hayo You Sister fanya “Kazi Tafuta Hela Yako ,Na Machaguo Yataongezeka” kama Mwana FA anavyosema.

Tambua shida uliyonayo ni ya muda tu usipoteze thamani ya mwili wako Kwa vijizawadi zawadi vyenye maulizo ndani yake.

#Bongofive Maisha Na Mziki Imeandaliwa Na @el_mando_tz na @tujuavyo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents