Burudani

Tuzo za MTV MAMA 2015 kufanyika July 18, Durban, SA

Tuzo za muziki za MTV Africa zitatolewa July 18 kwa mara nyingine tena jijini Durban nchini Afrika Kusini.

Mama

MAMA 2015 itahusisha vipengele 17.

Majina ya wasanii watakaoshiriki kwenye tuzo hizo yatatajwa June 11.

Uzinduzi wa tuzo hizo umefanyika leo kwenye hoteli ya Southern SunElangeni & Maharani Hotel jijini Durban na kushuhudiwa na wasanii mbalimbali wakiwemo AKA, Bucie, Big Nuz, Cassper Nyovest, Dream Team, DJ Tira na Patoranking.

Soma zaidi hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents