Burudani

Uchaguzi wamtia hofu Dayna kuachia ngoma mpya

Dayna Nyange amesema amewaandalia kazi nyingi mashabiki wake lakini anashindwa kuziachia kutokana vuguvugu la uchaguzi linaloendelea.

11371220_171295669876422_785758852_n

Akizungumza na Bongo5 leo, Dayna amesema ingawa uchaguzi umepita lakini bado masikio ya watanzania hayako sawa kupokea muziki mpya.

“Bado watanzania ndio wanatoka kwenye uchovu wa uchaguzi, nina nyimbo nyingi ila siwezi kutoa kwa sababu bado naona hali si shwari kwa watu ambao tunahitaji wasikilize muziki wetu. Kwa mimi binafsi nachukua nafasi hii kujiandaa zaidi ili nije kufanya mambo mazuri zaidi baada ya hali kutulia zaidi pamoja na rais kuapishwa,” amesema Dayna.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents