Michezo

Ujerumani yachukua ubingwa wa kombe la dunia 2014

Timu ya taifa ya Ujerumani imekuwa timu ya kwanza ya kutoka bara Ulaya kutwaa kombe la dunia katika mchuano ulioandaliwa Kusini mwa Marekani.
140713221911_germany_win_512x288_getty_nocredit

Ujerumani ilijipatia bao la muda wa ziada la Mario Gotze kuinyamazisha Argentina katika mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa Maracana.

Kufuatia ushindi huo Ujerumani walinyakua taji la nne la dunia.

140713221542_neuer_messi_512x288_gettyKipa Nuer wa Ujerumani alituzwa ”Golden Glover” Huku Messi akituzwa kama mchezaji bora ‘Golden Ball’

Kipa Nuer wa Ujerumani alituzwa ‘Golden Glover’ Huku Messi akituzwa kama mchezaji bora ‘Golden Ball’

Kipa wa Ujerumani Manuel Nuer alitawazwa kuwa kipa bora na akatuzwa ‘Golden Glove2’ na Lionel messi wa Argentina alitawazwa kuwa Mshindi wa tuzo la ‘Golden Ball’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents