Burudani
Behind the scenes: Picha 15 za shooting ya video ya wimbo wa Victoria Kimani f/ Diamond & Ommy Dimpoz-Prokoto
Hizi ni picha za ‘behind the scenes’ za uchukuaji wa video ya wimbo wa muimbaji wa Kenya, Victoria Kimani uitwao ‘Prokoto’, ambao kawashirikisha Ommy Dimpoz na Diamond. Video ilifanyika Ijumaa (July 11) jijini Dar es salaam na kuongozwa na director wa Kenya Kevin Bosco.