Burudani

Ukiziona hizi picha za mastaa wa Nigeria lazima utamani kuwa baba

Maisha huwa ya furaha unapokuwa na mafanikio ya kimaisha ukisherehekea na familia yako.

WIRELESS15-AWH-3032

Wasanii wengi wa Nigeria wameonekana huwa ni watu wa kuwa karibu na familia zao wanapokuwa mapumzikoni na kwenye hilo huwa hawajifichi kila kitu hukiwejka wazi wanachokipenda wanapokuwa wamepumzika na familia zao.

Hizi ni baadhi ya picha za mastaa wa Nigeria wakiwa na watoto wao.

160509121714_rwanda_floods_9_624x351_bbc
Picha ya Peter Okoye akicheza na watoto wake, Cameron na Aliona

160509121402_rwanda_floods_6_624x351_bbc
Davido akimpa maziwa ya chupa mwanae, Imade Victoria

160513161318_fatma_samoura__512x288_fifa
Ice Prince akiwa na mtoto wake Jamal Zamani

1462650922_626e8834cd22c6e41f21de51b46037c4
Mr Flavour akiwa na mtoto wake Sophia Okija

1463009917_84f6eda4133e972114c35a35b7098210
Paul Okoye akiwa na mtoto wake Andre

WIRELESS15-AWH-3032
Wizkid akiwa na mtoto wake Boluwatife Balogun

azealia-banks-zayn-malik-racist-twitter-rant-51116
Olamide na mtoto wake Maximilliano Batifeori Adedeji

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents