Burudani

Uliwahi kuona hii?

Off_Side_Trick

Kweli kila muziki basi unakuwa na asili yake ilimradi kufikia malengo ya kuburudisha kuonya na kufundisha, lakini hutumia njia mbalimbali katika kufikisha ujumbe huo. Wapo wanotumia simulizi za mapenzi na wapo wanaotumia mikasa ya maisha ya wenzao

kusimulia katika kutoa funzo na elimu, lakini pia kuna vijembe, misuto na mambo mengine katika kuleta burudani..Hebu anagalia  hii na upate radha kutoka kwa mwanamuziki Off Side Trick, akiwa Lil Ghetto na Mwenzake wakimshirikisha Baby J, kisha anangalia wimbo wa Vifuu Fudu wa  staili waliyoitumia ni Mduara

at2

(At akiwa kwenye pozi)

Tunaanza na Off Side Trich…Kidudu mtu

{hwdvideoshare}id=1610|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

 

Kisha tumalizie na At …. Vifuu Fudu

{hwdvideoshare}id=1611|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents