Habari

UTEUZI: Rais Magufuli amtumbua DC Nachingwea na Mkurugenzi wake

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Rukia Muwango na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Bakari Mohammed uteuzi wao umetenguliwa jana usiku na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wiki iliyopita Rais Magufuli akiwa ziarani wilayani humo, Alikasirishwa na utendaji wa viongozi hao kwa kuchelewesha miradi ya maendeleo. Soma zaidi teuzi nyingine

Image

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents