Burudani

Video 5 za Bongo Flava ‘zinazotrend’, Aslay, Roma wazidi kupeta

Kama ilivyokawaida kila Jumatatu nakuletea chart ya video tano za Bongo Flava ambazo ‘zinatrend’ katika mtandao wa YouTube.

Katika chart ya wiki hii kuna mabadiliko makubwa kwani katika video tano za wiki iliyopita imebaki video moja ambayo ni Baby ya Aslay.

  1. Rostam (Roma & Stamina) – Hivi Ama Vile (katika trending ya Tanzania ni namba 3), wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Roma – Zimbabwe.

2. Lava Lava – Dede (katika trending ya Tanzania ni namba 14), wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Nay wa Mitego ft Rich Mavoko – Acheze.

3. Rayvanny – Chuma Ulete (katika trending ya Tanzania ni namba 20),wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Aslay – Baby.

4. Aslay – Baby (katika trending ya Tanzania ni namba 26) wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Madee ft Tekno – Sikila.

5. Gigy Money – Papa (katika trending ya Tanzania ni namba 33) wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Harmonize – Sina.

https://youtu.be/lUMBXzx8e7k

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents