Habari
Picha: Fahari ya mkulima ni mavuno – Dkt Kikwete
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amezidi kuonyesha jinsi msimu huu alivyovuna mahindi vizuri huku akisema ukivuna vizuri inakupa moyo kulima msimu ujao.
Picha:
Dkt Kikwete ametweet leo kupitia ukurasa wake wa Tweeter:
Shughuli ya mavuno inaendelea leo Msoga. Fahari ya mkulima ni mavuno. Ukivuna vizuri, inakupa moyo kulima msimu ujao.
Na Emmy Mwaipopo