Burudani

Video: Beyonce aimba wimbo maalum kwa ajili ya watu 50 waliouwa huko Orlando

Beyonce ameimba wimbo maalumu kwa ajili ya watu waliouwawa kwenye klabu ya usiku baada ya mtu mmoja [Omar Mateen] aliyeishambulia kwa bunduki klabu ya mashoga iliyopo Orlando nchini Marekani, Juni 12 mwaka huu.

beyonce-detroit

Queen Bey ambaye bado anaendelea na ziara yake ya ‘Formation’ aliimba wimbo huo alipokuwa akifanya show kwenye ukumbi wa Detroit’s Ford Field, Michigan.

Tukio hilo lilisababisha vifo vya watu 50 na kuacha wengine zaidi ya 50 wakiwa majeruhi huku mmoja ya watu walionusurika kwenye tukio hilo alisema kuwa aliweza kuona kuona lundo la miili ya watu waliokufa kwenye choo.

Tazama video hapa.
https://youtu.be/Q3HUNqxF_cg

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents