HabariUncategorized

Video: DC Zainab azungumzia ishu ya uzuri kumpa nafasi, fursa walizopewa vijana na Rais Magufuli

Mkuu wa Wilaya ya Pangani, Zainab Abdalah amefunguka kwa kudai kwamba vijana wengi wanakatishana tamaa na kuwekeana vikwazo wenyewe kwa wenyewe. DC huyo kijana amedai kwamba kama vijana tukiamua kushirikana wenyewe kwa wenyewe na kutachapa kazi ipasavyo tutafika mbali zaidi na kufanya mambo makubwa.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents